Mdhihiriko wa Kionjo cha Usangwini kwa Mhusika Willy Gamba katika Riwaya ya Njama. (Swahili)
In: Kioo Cha Lugha, Jg. 17 (2019), S. 99-113
academicJournal
Zugriff:
Maudhui ya kazi za kifasihi hufika kwa hadhira kupitia wahusika. Watunzi huwajenga wahusika hao kwa kutumia mbinu mbalimbali huku wakiwavisha haiba na mujukumu ambayo, aghalabu, huendana na vionjo maalumu vya haiba (psychological temperaments). Shabaha ya makala hii ni kufafanua namna ambavyo sifa na majukumu ya mhusika wa kazi za kifasihi huendana na vionjo vya kihaiba anavyojengwa navyo. Ufafanuzi wetu unaegemezwa kwenye uhusika wa Willy Gamba katika riwaya ya Njama. Tunaonesha namna anavyotekeleza majukumu yake kwa kuongozwa na sifa za kionjo cha usangwini ambacho ni mojawapo ya vionjo vikuu vinne vya kihaiba. [ABSTRACT FROM AUTHOR]
Copyright of Kioo Cha Lugha is the property of University of Dar es Salaam, Institute of Kiswahili Studies (IKS) and its content may not be copied or emailed to multiple sites or posted to a listserv without the copyright holder's express written permission. However, users may print, download, or email articles for individual use. This abstract may be abridged. No warranty is given about the accuracy of the copy. Users should refer to the original published version of the material for the full abstract. (Copyright applies to all Abstracts.)
Titel: |
Mdhihiriko wa Kionjo cha Usangwini kwa Mhusika Willy Gamba katika Riwaya ya Njama. (Swahili)
|
---|---|
Autor/in / Beteiligte Person: | Ponera, Athumani S. ; Kasiga, Gervas A. |
Zeitschrift: | Kioo Cha Lugha, Jg. 17 (2019), S. 99-113 |
Veröffentlichung: | 2019 |
Medientyp: | academicJournal |
ISSN: | 0856-552X (print) |
Sonstiges: |
|